Mwanaume kutoa mbegu (shahawa) nyepesi

 MWANAUME 

KUTOA SHAHAWA NYEPESI


Sio wakati wote mwanaume atatoa shahawa

nzito.

kuna muda mwanaume anaweza kutoa

shahawa nyepesi kama majiHali hiyo ni ya

kawaida Lakini kama ni hali ya muda mrefu au

yakujirudia rudia zipo sababu zinazoweza

kusababisha hali hiyo:--


Mwanaume kushiriki

mapenzi mara kwa mara au kufanya

masturbation mara kwa mara- Maambukizi

katika korodani-Kiwango kidogo cha mbegu 

katika shahawa-Magonjwa ya kurithi kama

Klinifelta nklli kua na shahawa nzito

Unashauriwa kupata muda wa kutosha wa

kupumzika,kuacha au kupunguza

masturbation,Kufanya mazoezi,Kula vyakula

kama karanga.Korosho, Ufuta, Maziwa,mboga za

majani ,mayai ,nyama nkPia unaweza kufanya

uchunguzi wa vipimo kama homoni ya

testosterone pamoja na kipimo cha ubora na

wingi wa mbegu (semen analysis)


Kwa ushauri nipigie nikupe maelekezo sahihi 0626664255

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ufahamu Ugonjwa wa miguu kuwaka moto