Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2023

Mwanaume kutoa mbegu (shahawa) nyepesi

 MWANAUME  KUTOA SHAHAWA NYEPESI Sio wakati wote mwanaume atatoa shahawa nzito. kuna muda mwanaume anaweza kutoa shahawa nyepesi kama majiHali hiyo ni ya kawaida Lakini kama ni hali ya muda mrefu au yakujirudia rudia zipo sababu zinazoweza kusababisha hali hiyo:-- Mwanaume kushiriki mapenzi mara kwa mara au kufanya masturbation mara kwa mara- Maambukizi katika korodani-Kiwango kidogo cha mbegu  katika shahawa-Magonjwa ya kurithi kama Klinifelta nklli kua na shahawa nzito Unashauriwa kupata muda wa kutosha wa kupumzika,kuacha au kupunguza masturbation,Kufanya mazoezi,Kula vyakula kama karanga.Korosho, Ufuta, Maziwa,mboga za majani ,mayai ,nyama nkPia unaweza kufanya uchunguzi wa vipimo kama homoni ya testosterone pamoja na kipimo cha ubora na wingi wa mbegu (semen analysis) Kwa ushauri nipigie nikupe maelekezo sahihi 0626664255