Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2018

FAIDA ZA NDIZI MWILINI

*👉Ndizi ni kinga ya magonjwa.​🍌* 🍌Faida na maajabu yaliyomo kwenye tunda hili👇 *🍌Ndizi ina aina tatu za kipikee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na vile vile ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre) ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni🍌* 🍌Ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. 🍌Unaweza kupata nishati ya kufanyakazi ya muda wa dakika 90 kwa kula ndizi mbili tu. 🍌Bila shaka ndizi ni tunda muhimu sana kwa wanamichezo. na ni tunda lenye uwezo pia wa kuponya na kuzuia matatizo mengi ya kiafya👇 *🍌🍌MATATIZO WAKATI WA HEDHI (PMS)🍌🍌🍌* ▶Kama wewe ni miongoni mwa wale akina mama wanaopatwa na matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa hedhi, unashauriwa kula ndizi mbivu na unaweza kuponywa. ▶ Vitamin B6 iliyomo kwenye ndizi, hurekebisha kiwango cha sukari ambacho

SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO

👑SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO👑 🌼HERUFI A Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. 🌼HERUFI B wenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. 🌼HERUFI C Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano. 🌼HERUFI D Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. 🌼HERUFI E Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. K